TCU YA RUHUSU KUOMBA CHUO TENA 0CTOBER 2018/19



Habari njema kwa wale wote wanaotamani kuomba chuo  kikuu hapa nchini Tanzania.Je , wataka kujua ni habari ipi hiyo?.Fuatana nami sasa.

TCU  kwa sasa imeruhusu wanaohitaji kuomba vyuo waombe  fursa hii imeanza kuanzia tarehe 13/10/2018 hadi tarehe 20/10/2018.Usikose mtu wangu fursa hii adimu itumie sasa chap chap omba chuo unachohitaji kwa kuzingatia vigezo na masharti vilivyowekwa sasa.

Uiiiiii! la mgambo limelia sasa hapa hapa soma kidigitali blog endelea kutembelea blog hii uhubarike kuhusu habari za vyu vikuu,  masomo ya sekondari ,michezo n.k.Sasa subscribe you tube channel ya soma kidigitali kwa kubofya hapa https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni