Taifa stars 2 V/S Cape Verde 0

Kikosi cha Timu ya taifa ya Tanzania cha ibuka kidedea kwa kukifunga kikosi cha timu ya Taifa  ya Cape Verde magoli 2 kwa 0.
Tazama video hii kushuhudia magoli jinsi yalivyofungwa .Bofya katikati ya video hii hapo chini.


Soma kidigitali blog ni " Nguvu Ya Video kali ".Endelea kutembelea blog hii uhabarike zaidi na zaidi sasa.

Maoni