Simba sc oyeeeee!

Kikosi cha pendwa nchini Tanzania  cha Simba kimeibuka kifua mbele kwa kukifunga kikosi cha Ruvu shooting kwa mabao 5 kwa 0 na kuifanya simba kuwa klabu imara zaidi Tanzania.
Soma kidigitali blog inakuletea mchezo huo kwa kuweza kutazama hapa hapa kwa kubofya katika video hii hapo chini.


Mmmh! haswa hii ndo soma kidigitali blog kwa habari za michezo ndo nyumbani kwake karibu saaana.

Maoni