NACTE YATOA AWAMU YA PILI YA UDAHILI



Amini usiamini sasa matokeo ya kuomba chuo yametoka rasmi kutoka NACTE ambapo waombaji wamepata nafasi mbalimbali sasa katika fani tofauti tofauti.

Habari njema kwa ambao hawajapata chuo katika fani zote kwa vyuo vya ndani nchini Tanzania .Sasa Necta ya toa nafasi nyingine ya kuomba chuo kwa awamu ya pili iliyoanza rasmi tarehe 28,septemba mpaka tarehe 12,Octoba 2018.

Endelea kubakia hapa hapa soma kidigitali blog uhabarike kuhusu habari za vyuo,michezo.nk.Usiache kusubscribe katika You tube channel ya soma kidigitali sasa.

Maoni