Juventus 2 v/s Empoli 1

Juventus klabu hakika bado inadhihirisha umwamba wake katika ulimwengu wa soka.Ubora huo unadhibitishwa na Juventus kwa kuweza kuifunga timu ya Empoli magoli 2 huku wakiambulia goli moja la machozi.
Shuhudia mchezo huu hapa hapa soma kidigitali blog kwa kubofya katikati ya video hii hapa chini

 Bakia hapa hapa soma kidigitali uhabarike zaidi kuhusu yanayo trend katika michezo,elimu sekondari,vyuo vikuu n.k

Maoni