Ushindi wa Spain Dhidi ya England

Hawa ndio Spain wapo katika kiwango chao cha ubora ambacho si kama cha Kombe la dunia .Wamedhibitisha hilo kwa kuwafunga magoli 2 England huku kikosi cha England kikiambulia goli 1.

Pata kushuhudia magoli haya kwa kubofya katika kitufe chekundu cha video hii hapa chini



Soma kidigitali blog hakika ni" Nguvu Ya Maneno Ya Busara" endelea kutembelea blog hii uhabarike zaidi .Pia usisite kusubscribe katika Soma kidigitali You tube channel kwa kubofya
https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni