Simba FC yatisha V/S Mwadui

Simba yaendeleza  ubabe kwa kugawa kipigo kwa kikosi cha Mwadui Fc .Shuhudia mechi hii ambapo  kikosi cha simba kilifunga magoli 3dhidi ya Mwadui FC iliyoambulia goli moja tu.



Endelea kuhabarika kuhusu michezo ukiwa hapa hapa soma kidigitali blog .Usisite kusubscribe katika You tube channel ya Soma kidigitali kwa kubofya https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni