# Mbuzi Anayekula Maandazi 2018

Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Filauni.Kweli duniani kuna maajabu hasa kwa leo ninakuletea maajabu katika simulizi ya maajabu ni kuhusu mbuzi wa ajabu duniani.Je,wataka kumjua mbuzi huyu  anapatikana wapi,nchi gani??

Mbuzi wa maajabu anapatikana Nchini Tanzania katika mmji wa njombe.Kwa kuweza kumuona waweza bofya katika video hii uhabarike sasa tada ! tada!


Soma kidigitali  blog ni "Nguvu ya Maneno Ya Busara" karibu sana uhabarike kuhusu michezo,maajabu ,masomo ya sekondari kwa njia ya video na mambo kedekede .Usisite sasa kusubscribe soma kidigitali You tube channel kwa kubofya https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni