# JIFUNZE MAKOSA YA MATAMSHI YA LUGHA YA KIINGEREZA

Leo ninapenda kukufunza somo la kiingereza hasa katika kipengele cha matamshi ya lugha ya kiingereza yaliyosahihi.Kwa kiasi kikubwa watumiaji wa lugha hii wengi hushindwa kutumia matamshi sahihi ya lugha hii ya kiingereza.

Kupitia video hii maalumu itakusaidia kutambua makosa  hayo na kuyasahahihisha.Karibu ujifunze kwa kubofya katikati ya video hii hapa


Yeah hii ndio "Nguvu Ya Maneno Ya Busara" toka hapa hapa soma kidigitali blog karibu uhabarike kuhusu masomo mbalimbali ya sekondari,michezo,vyuoni n.k.Usipitwe kusubscribe sasa katika You tube channel ya Soma kidigitali kisha sambaza upendo kwa kushare/kulike/kucomment kwa kubofya hapa  https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni