Ushindi wa Liverpool Goli 5


UTANGULIZI

Ushindi  wa Liverpool huu umepatikana baada ya kuifunga timu ya Napol  mabao 5 kwa 0 ambapo Napol wa kiambulia patupu kabisa kwa klabu maarufu ya ligi ya ulaya.

KIINI

Waweza tazama magoli haya ya Liverpool kufahamu nani kafunga na ni kwanamna gani?.Unachotakiwa kufanya ni kubofya katikati ya video hii kwenye kitufe chekundu ujionee.


HITIMISHO

Yeap! hii ndio timu ya Liverpool na mambo yao ya ukweli kabisa.Usikose kutembelea blog hii na channel ya soma kidigitali kisha subscribe sasa uhabarike kuhusu michezo,masomo ya sekondari kwa njia ya video  n.k

Maoni