# Usanifu wa Bajaji @ Made in Tanzania


Umeshaona hii bajaji maishani mwako?.Je ,bajaji ni nini?.Bajaji ni chombo cha moto ambacho hutumika kusafirishia abiria ,mizigo kutoka sehemu moja hadi nyingine.Chombo hiki mara nyingi hutumika zaidi katika maeneo ya mijini kama vile Dar es salaam na hata mikoani kwenye miji mikubwa.

Kama bado ujaona bofya katikati ya video hii uone hapo chini


Mmmh! hio ndio made in Tanzania hongera ndugu kwa ubunifu huo sasa wadau tumsapoti mbunifu huyu kamwe usisite kutembelea soma kidigitali blog upate maneno ya busara kwani soma kidigitali  ni " Nguvu ya maneno ya busara".Usikose kusubscribe sasa soma kidigitali You tube channel kwa kubofya https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni