Usajili wa Private candidates form 6 usikose

 UTANGULIZI

Private candidates ( watahiniwa wa kujitegemea) hawa ni wataminiwa binafsi wanaofanya au kurudia mitihani mbali mbali ya taifa  yaani kidato cha nne na sita.

KIINI

Sasa kupitia soma kidigitali utaweza kufahamu hatua za kujisajili kwa ajili ya mitihani. Tazama video hii  kwa kubofya katika kitufe chekundu .


HITIMISHO

Karibu tena hapa soma kidigitali  uhabarike kuhusu habari za elmu,michezo .Pia subscribe katika channel ya Soma kidigitali You tube channel kwa kubofya

Maoni