SOMA HAPA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WANAOOMBA VYUO 2018/19

UTANGULIZI

Sasa waweza jipatia hapa mwaongozo utakao kuongoza wakati wa kuomba chuo yaani ni chuo kipi unataka , ni kozi ipi wataka kusoma na je, uko una sifa inayotakiwa katika kozi husika mfano medicine,ualimu,uhandisi wa umeme,uhandisi wa maji,afisa mipango ,uhasibu na kadhalika.

KIINI

Ni muhimu ukasoma mwongozo huu kabla hujaanza kuomba chuo kwa manufaa yako binafsi.Bofya katika kitufe kilichoandikwa "click here to download now" kuweza kupata mwongozo huu bure sasa.


HITIMISHO

Ukiwa hapa soma kidigitali blog waweza jifunza na kuhabarika kuhusu habari kedekede za vyuo vikuu Tanzania  .Karibu sana tembelea soma kidigitali you tube channel pia kwa kubofya  https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni