# MAJINA YA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA SEKONDARI AUGOST 2018




Serikali ya Tanzania ya tangaza ajira ya walimu wapya wa sekondari ambao tayari wameshapangiwa vituo vya kazi katika halmashauri mbalimbali hapa nchini Tanzania mnamo Augost mwaka 2018.
Aidha walimu hao walioajiriwa na serikali ni walimu wa masomo ya sayansi,sanaa katika somo la literature in English pamoja na walimu mahususi wa maabara katika shule zetu za serikali nchini.
Kwa kufahamu jina lako kama umepangiwa kituo au umeajiriwa kwa mwezi Augost 2018 bofya hapa chini walipoandika




Hakika soma kidigitali ni uso kwa uso paaa! kuhusu habari kedekede za masomo ya sekondari kwa njia ya video,michezo,vyuoni n.k.Soma kidigitali ni nguvu ya maneno.Pia usikose kusubscribe soma kidigitali you tube channel kwa kubofya https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni