Jionee Mazishi Ya Mchekeshaji King Majuto

Simanzi ya furika kwa waombolezaji mamilioni ya watanzania kwa msiba uliotokea wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania king Majuto.

Tazama video hii hapo chini ujionee mazishi hayo kwa kubofya katikati ya video  hiyo


Rest in Peace mzee wetu.Poleni familia ,ndugu jamaa na watanzania wote mola awapatie faraja ya milele.Karibu tena hapa hapa soma kidigitali uso kwa uso paaa.Pia subscribe soma kidigitali You tube channel kwa kubofya   https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni