# INAYOKIKI SASA - ARIS YATOA MATOKEO DUCE @ UDSM



Heloo habari mpendwa msomaji katika blog hii ya soma kidigitali .Karibu tena katika blog yako katika zinazokiki leo hii vyuoni ni kama ifuatavyo.

 Aris mfumo mahususi kwa kutoa matokeo ya wanachuo katika chuo cha UDSM ya anza kutoa matokeo na kwa sasa matokeo yanayopatikana ni ya DUCE . Kuingia kutazama matokeo yako bofya hapo chini "Click here to enter"

Siku zote usikose kutembelea blog hii uhabarike kuhusu habari mbalimbali za vyuo Tanzania.Pia waweza tembelea soma kidigitali you tube channel kwa kusubscribe/ like/share bofya https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni