Hizi ndizo awamu za udahili TCU 2018/19

Je,unawaza ni  lini awamu ya kwanza ya udahili  inaisha lini?.Je, kuna awamu ngapi?.Ahaa! usiwaze kuumiza kichwa kwa jambo hili la muhimu.
Kupitia video hii waweza kufahamu kwa kina kwa kubofya katikati ya video hii hapa chini

Hakika soma kidigitali uso kwa uso paaa! siku zote tembelea soma kidigitali blog na soma kidigitali you tube channel subscribe https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni