Epukana na ukataji misitu (DEFORESTATION)



Misitu ni amana ya dunia yetu tuitunze tuithamini kwa manufaa ya sasa na ya baadae sasa.
 Shuhudia video hii inayoonesha ukataji wa misitu Afrika kwa kubofya kitufe chekundu hapo chini.


Hakika misitu ni utajiri wetu kwa mvua ya kutosha ,maaneo ya utalii  tuitunze .Karibu soma kidigatili blog pia you tube channel subscribe sasa  https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni