Waaoooh! Beligium Juu kombe la dunia 2018 Russia

UTANGULIZI

Katika kumtafuta mshindi wa 3 kwenye mechi ya England v/s Beligium leo huko Russia.Timu ya taifa ya Belgium yaibuka kidedea kwa kushinda katika mechi hii ya kumtafuta mshindi wa tatu.

KIINI

Beligium imepata ushindi huu baada ya kuifunga timu ya England mabao mawili(2) .Goli la kwanza likifungwa kipindi cha kwanza na goli la pili likifungwa kipindi cha pili na kapteni wa kikosi cha Belgium Hazard na kuhakikishia ushindi timu ya Belgium.


HITIMISHO

Naam timu ya Beligium imefanikiwa kutinga katika nafasi ya tatu(3) kombe la dunia Russia 2018.Endelea kubakia na kufuatilia habari za kombe la dunia hapa hapa soma kidigitali .Pia soma kidigitali you tube channel  subscribe sasa.

Maoni