Usisahau Kudownload Ratiba ya Mtihani Wa Taifa Darasa la 7



Kamwe hatuko nyuma kukuletea ratiba ya mtihani wa taifa wa darasa la 7 iliyotolewa leo hii na Necta.Ukiwa unafuatilia siku zote katika blog hii soma kidigitali unapata uwezo wa kudownload ratiba hii kwa urahisi kabisa na ni bure.
Kwa kudownload bofya katika kitufe kilichoandikwa" Clikck here to download'' udownload fasta kabisa .Karibu.


Daima tunasisitiza utembelee katika somakidigitali uelimike mabo mengi kabisa kuhusu masomo ya sekondari kwa njia ya video,michezo,past papers n.k.Jisajili sasa.

Maoni