SWEDEN YAFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018




Sweden yafanikiwa kufuzu robo fainaili ya kombe la dunia 2018 linalofanyika nchini Russia .Timu hii imefanikiwa baada ya kuifunga timu ya Switzerland goli moja (1) wakati wafungwaji wakiambulia patupu(0) bila kufunga hata goli moja na hivyo kuifanya Switzerland kuyaaga mashindano ya kombe la dunia 2018.
Hakika endelea kutembelea blog hii soma kidigitali uendelee kuhabarika kuhusu michezo hasa michuano ya kombe la dunia 2018,masomo ya sekondari kwa njia ya video,vichekesho,kampeni n.k pia tembelea channel ya soma kidigitali You tube.

Maoni