Shabiki Mtoto Aililia Uruguay World Cup Russia 2018.

UTANGULIZI

Ushabiki  wa kweli hutoka moyoni ambapo mtu huwa tayari kutetea ,kushangilia timu ambayo huishabikia.Katika kombe la dunia limebarikiwa kuwa na washabiki wengi zaidi kutoka mataifa mbalimbali duniani.

KIINI

Shabiki mtoto aililia Uruguay ambapo aliamini na alitegemea ushindi wa Uruguay katika mechi wa liocheza na France ambayo ingewafanya waweze kuingia nusu fainali na hata kuchukua kombe la dunia 2018.Lakini ndoto ya shabiki huyo ilingia shubiri baada ya timu yake kufungwa goli la pili na Griezman na kumfanya mtoto kuangua kilio kisichokuwa  na uficho.

HITIMISHO

Huo ndio ushabiki wa soka  dunia  hakika shabiki yuko tayari kushangilia apendavyo.Ukiwa hapa hapa soma kidigitali  endelea kutembelea soma kdigitali uhabarike siku zote. Usisahau kutembelea you tube channel yetu ya soma kidigitali https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni