Sasa Download Ratiba Ya Mtihani wa taifa 2018 Ya form 4 Necta Hapa

UTANGULIZI

Habari moto moto kabisa sasa ratiba ya mtihani wa kidato cha 4 ya toka rasmi leo hii ikitolewa na Baraza la Mtihani(Necta) 2018.Unajiuliza sasa je,utaipataje?????.Usiumize kichwa hebu soma hapa chini kwa umakini.....

KIINI

Usiumize kichwa sasa waweza download hapa ratiba ya mtihani kidato cha 4 bure kabisa na ni rahisi.Chakufanya bofya katika kitofe kichoandikwa  "click here to download"  kudownlad sasa haraka zaidi.

https://dochub.com/somakidigitali/ynlvxb/ratiba-kidato-cha-nne-2018-final

HITIMISHO

Hiyo ndiyo ratiba rasmi yamtihani wa taifa kidato cha nne (4) mwaka 2018.Siku zote endelea kutembelea blog hii soma kidigitali kisha ujisajili kwa masomo ya sekondari kwa njia ya video,past papers za mitihani ya taifa,michezo,vichekesho,vyuo n.k

Maoni