Russia na Spain Katika Kuwania Kuingia Robo fainali Kombe la Dunia 2018

 

UTANGULIZI

Hakika ni swali lisilokuwa na majibu leo hii duniani  kati ya kikosi cha timu ya taifa cha Russia na kikosi cha timu ya Taifa  cha Spain ni yupi atakayefanikiwa kuingia robo fainali ya kombe la dunia Russia 2018.Je,Russia hata kubali kuabishwa kwa kutolewa katika michuano hii ya kuwania kombe la dunia akiwa nyumbani kwake???

KIINI

Kwa viwango vya Fifa Russia ipo nafasi ya 70 na Spaini nafasi ya 10.Katika historia ya kombe la dunia Spaini  haijawahi shindwa na timu ya Russia.Licha ya Russia kuwa na nguvu mpya katika kuwania kombe la dunia la mwaka huu kwa kushinda timu kama vile Egypt toka Afrika na nyinginezo.

HITIMISHO

Waswahili hunena nani ataweza kumfisha kengele paka ??? nami nanena ni nani ataweza kufuzu kuingia robo fainali baina ya Russia na Spaini.Jibu litafahamika baada ya mechi kuisha.endelea kuafatana nami somakidigitali ili huabarike kuhusu habari za michezo,masomo  ya sekondari kwa njia ya video,vichesho n.k hapa hapa soma kidigitali.

Maoni