Russia 2018 Uchambuzi wa Mechi Ya Brazil v/s Belgium

UTANGULIZI

Leo  kombe la dunia  linaanza Russia 2018  katika michuano ya robo fainali.Katika kuanza kwa robo fainali leo mechi ya pili ni ya Brzil v/s Beligium. Wengi ndio inasemekana kuwa ni kama fainali ya kombe la dunia.Je,wafahamu mpangilio wa timu hizi mbili za robo fainali??.Fuatana nami sasa.

KIINI

Kupitia video hii waweza kuona uchambuzi wa mpangilio wa timu hizi kuu mbili katika mechi ya ufunguzi wa robo fainali za kombe la dunia Russia 2018.Tazama hapa chini.



KIINI

Je,kati ya Brazil na Belgium nani anashinda??.Toa maoni yako ukiwa hapa soma kidigitali kwa kujisajili pia tembelea soma kidigitali You tube channel kwa kubofya hapa https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni