PIKIPIKI ZAIDI YA 2500 ZA TOLEWA NA SERIKALI KUSIMAMIA ELIMU KATANI

UTANGULIZI

Elimu ni mwangaza wa maisha ya kila mwanadamu ndio maana serikali imewekeza katika elimu ili kuhakikisha kupitia elimu inawakomboa wananchi wa taifa lake katika nyanja zote za maisha yaani kiuchumi,kiutamaduni,kifikra na hata kisiasa.Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yatoa pikipiki kwa waratibu elimu kata.

KIINI

Pikipiki zaidi ya 2500 zimetolewa na serikali kwa nia ya dhati kabisa kwa ajili ya kusimamia elimu katika kata nchini kupitia mradi wa kukuza stadi za kusoma,kuhesabu na kuandika.

HITIMISHO

Hivyo watendaji husika yaani waratibu elimu kata waaswa kutimiza ndoto ya serikali kwa kusimamia elimu katika kata zao ili kuboresha elimu ambayo inaweza kumkomboa mwanachi mwanafunzi ,mtoto taifa la kesho.Endelea kutembelea blog hii soma kidigitali uhabarike kuhusu masuala ya elimu ,michezo n.k

Maoni