Huwezi Amini Kirahisi Spaini Atolewa Kombe la Dunia 2018




Hakika huwezi amini kwa urahisi hata kwa kuambiwa au kutazama katika mechi iliyopigwa baina ya Spain na Russia.Mpaka dakika 120 walitoshana nguvu

Mwisho wa siku haya ni mashindano na mshindi lazima apatikane  mshindi ndipo walipopiga penait .Katika penait zilizopigwa Russia wamefunga 4 dhidi ya Spain ambao wamefunga  magoli 3.

Hakika endelea kufuatilia michuano ya kombe la dunia ukiwa na soma kidigitali.Usipoteze muda jisajili sasa katika blog hii

Maoni