Haya Ndio Majina Ya Watumishi Waliopata Uhamisho Julai 2018

UTANGULIZI

Je,unawaza jina lako lipo au halipo kama umeomba uhamisho ??? Mmmh! usiwaze sana sasa waweza ona jina lako kama umeomba uhamisho wakutoka halmashauri moja kwenda nyingine nawe ni mtumishi wa serikali.Ukiwa hapa somakidigitali blogspot ambatana nami..

KIINI

Hakika waweza ona jina lako kirahisi kwa njia ya video kwa kubofya katika kitufe chekundu katika video hii .


Pia kwa kubofya katika kitufe kilichoandikwa click here to down load utaweza ona jina lako na ukadownload .


HITIMISHO

Soma kidigitali blogspot .com inakurahisishia siku zote penda kutembelea soma kidigitali uhabarike jisajili sasa.Halafu endelea kutembelea soma kidigitali You tube channel yaani subscribe/share/like.Karibu tena

Maoni