Harry Kane Shujaa Wa Timu Ya England Kombe la Dunia Russia 2018


UTANGULIZI

Harry Kane funga goli kwa ajili yangu ni bango aliloshikilia shabiki mtoto wa timu ya England katika mchezo wa jana baina ya England v/s Colombia kuwania kufuzu robo fainali.Unapata swali kwani nini huyo shabiki mtoto aliandika hilo bango?? na je,Kane ni nani??.Kufahamu maswali ya majibu yako fuatana nami.

KIINI

Harry Kane ni mchezaji nguli wa kulipwa kutoka timu ya taifa ya England.Je,anachezea Klabu gani ??Kane anachezea Klabu ya Totten Hotspur ya uingereza.Mtoto aliandika bango hili kwa sababu anaamini kuwa Kane anauwezo mkubwa wa kufunga magoli katika timu yake ya taifa kwa kombe la dunia  2018 ameshafunga magoli 6 katika mechi 3,katika kuqulify kombe la dunia 2018 amefunga magoli 5 katika mechi 6 n.k.
Amezaliwa wapi na ana miaka mingapi mpaka sasa??? Walthamstow ndiko aliko zaliwa na  miaka 24 kwani ni wa mwaka 1993.Urefu na uzito wake ukoje???.Ana uzito wa  86 kg  urfu wake ni 1.88 m.

HITIMISHO

Kane  kapteni wa kikosi cha England shujaa wa timu aongoza vyema kikosi chake .Wewe  una maoni gani??Toa maoni sasa???.Daima tembelea soma kidigitali blog uhabarike katika michezo russia 2018,masomo ya darasani kwa njia ya video,ratiba ya mtihani ya taifa form 4,2 n.k

Maoni