England Yafuzu Kuingia Robo Fainali World Cup Russia 2018

UTANGULIZI

Timu ya England chini ya usimamizi wa Kocha na Kane kapteni wao waweza kufuzu kuendelea na michuano ya kombe la Dunia 2018 Russia.Ushindi umepatikana mara tu baada ya kumaliza muda wa mapambano ya mpira uliodumu kwa dakika 120' kati ya timu ya England v/s Colombia.

KIINI

Ambapo England ya fuzu kupitia penait zilizopigwa na wachezaji wake kama vile Kane,Rashifold na wengineo na kufanya jumla ya Penait 4 walizofunga huku hasimu wao Colombia akiambulia penait 3 zilizofungwa na wachezaji kama vile Falcao na wenzake.

HITIMISHO

Hivyo timu ya England yafuzu kuingia katika robo fainali za kombe la dunia kwa kuifunga Colombia magoli 4 kwa 3.Endelea kubakia au kutembelea katika blog hii soma kidigitali uhabarike zaidi kaika michezo,masomo ya sekondari n.k Karibu tenaaa.

Maoni