ENGLAND KWA MAGOLI 2 YA FUZU NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018


England yaweza kufuzu kuingia katika nusu fainali za kombe la dunia 2018 huko nchini Russia mara tu baada ya kuifunga sweden magoli 2 kwa 0 .Kwa matokeo haya England inasubiri mshindi wa mechi ya baadae kati ya Crotia na Russia ili kukipiga nusu fainali.



Waoooh! hongera England kwa ushindi mnono mliopata sasa maandalizi mema ya nusu fainali.Endelea kufuatilia michezo ya kombe la dunia ukiwa na soma kidigitali blog pia soma kidigitali you tube channel subscribe sasa https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni