Brazil 1 v/s Mexico 0 Sasa dakika 50




Matokeo mpaka sasa muda wa dakika 50 Brazil 1 na Mexico 0.Licha ya kuonekana Brazil wamemiliki mchezo kwa asilimia kubwa mpaka sasa bado hawameona goli la Mexico
Sijui itakuwaje mwisho wa mchezo huu??.Je,kati ya Brazil na Mexico nani anashinda????.Baki hapa hapa soma kidigitali upate matokeo kamili ya kombe la dunia 2018.Karibu sana

Maoni