ENGLAND V/S COLOMBIA WAKO UWANJANI KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018


UTANGULIZI

Hakika mashindano ya kombe la dunia yanaushindani sana.Usiku huu muda si mrefu tunatarajia kushuhudia mchezo wa England dhidi ya Columbia huko nchini Russia mwka 2018.

KIINI

England jezi zao nyekundu na Columbia katika jezi zao za njano.Kila mmoja na formati tofauti kabisa na hasimu wake katika mchezo wa leo .Mmoja ataanzia upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.

HITIMISHO

Je,nani mshindi atakaye ingia robo fainali???.Bashiri toa maoni yako hapa somakidigitali.Endelea kufuatilia matokeo ya kombe la dunia 2018 Russia  hapa soma kidigitali blog karibu

Maoni