Belgium Yatinga Robo Fainali Kombe La Dunia 2018

UTANGULIZI

Hayawi hayawi sasa yamekuwa Belgium yatinga robo fainali katika kombe la dunia 2018 Russia.Je,wataka kujua ilikuwaje? na je,ni kwa namna gani??.Fuatana nami uhabarikeee....

KIINI

Belgium yatinga robo fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 kwa kufunga magoli 3 dhidi ya Japani  waliofunga magoli 2 baada yakurudisha magoli 2 ya Japani na kufunga goli la 3 la ushindi dakika ya 94' nakuifanya Belgium kuibuka kinara na kutinga robo fainali kombe la dunia 2018.

HITIMISHO

Bravoo! bravoo! belgium kwa ushindi wenu wa kutinga robo fainali na maandalizi mema ya robo fainali.Endelea kufuatilia matokeo ya kombe la dunia 2018 katika blog hii ya soma kidigitali.Karibu sana. 

Maoni