Awesome 2 Belgium Goals Russia 2018


UTANGULIZI

Belgium oyeee! oyaaaah! bravooo! ndo wa shindi wa pili kutinga nusu fainali katika michuano ya kombe la dunia dhidi ya Brazil jana huko Russia.Je,wamefunga magoli mawili(2) kwa namna gani ,je nani kafunga ambatana nami.

KIINI

Timu hii ya belgium imetinga nusu fainali kwa kuifunga timu ya Brazil magoli 2 ambapo goli la kwanza wamejifunga  wenyewe Brazili  kutokana na presha ya mchezo na goli la pili la fungwa kwa shoti kali kabisa kutoka kwa mchezaji namba 7 mgongoni na kumfanya goli kipa kushindwa kuimili uzito wa shuti na kusababisha goli la 2.


Aidha kikosi cha Brazil cha ambulia  goli moja(1) kutoka kwa mchezaji aliyeingia kipindi cha pili mwishoni mwishoni na kukifanya kikosi cha Brazil kuwa na mwamko wa kucheza mpira lakini hawakufua dafu kwa timu ya Beligium.

HITIMISHO

Wengi walitabiri kuwa Brazil wangeshinda mechi hiyo lakini mambo yalikuwa tofauti mpaka dakika 95 Belgium mbili(2) v/s Brazil 1.Huo ndio mpira dakika 90 ndio zinaamua mshindi,Endelea kubakia kufuatilia habari za michezo,masomo n.k ukiwa hapa hapa soma kidigitali Blog.Karibu sana.Jisajili sasa.Pia subscribe katika you tube channel ya soma kidigitali https://www.youtube.com/channel/UCL1WQPFyi_l2g0MS3WC35mA

Maoni