Zitambue Sifa Za Ajira Mpya za Walimu 2018

UTANGULIZI

Habari ! njema Habari njema! kwa Walimu Tanzania sasa Serikali ya tangaza rasmi ajira za walimu wa sekondari kwa walimu wa masomo ya sayansi na art (english in literature) vipaumbele zaidi .Je,wataka kufahamu habari hizi.. Fuatana nami hapa chini

KIINI

Kabla ya yote mwombaji wa ajira anapaswa kujua sifa za msingi za mwombaji kisha ndio aanze kuomba kazi kwa njia ya mtandao rasmi OTEAS.
Sasa waweza kudownload sifa hizi hapa hapa katika blog hii hapa chini


HITIMISHO

Yeah! habari hii ndio ya mjini usikae nyuma mwalimu changamkia fursa sasa.Bakia na uendelee kutazama somakidigitali siku zote kwa habari za masomo ya darasani kwa njia ya video,michezo n.k.Karibu sana.

Maoni