# ZIFAHAMU TIMU ZINAZOWAKILISHA AFRICA KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018.

UTANGULIZI

Afrika ni bara lenye watu wengi duniani inakadiriwa bara hili linawakazi zaidi ya billioni moja(1) .Bara lilobarikiwa kwa kila rasimali asili kama vile madini kama Tanzanite,mafuta,gesi ,wanyama pori kama vile tembo,vifaru na kadhalika.Katika ulimwengu wa soka hatuko nyuma tunawachezaji nyota duniani kama vile Mohamed Salah,Samuel Etoo na wengine wengi.

KIINI

Bara la Afrika linawakilishwa na timu tano zinazoshiriki kombe la dunia Russia 2018. Je, wataka kufahamu  timu zipi zinatuwakilisha?.Ambatana nami katika video hizi kufahamu zaidi........



HITIMISHO

Timu zetu zina nafasi kubwa tu za kuweza kuchukua taji la kombe hili la dunia kama zitaweka jitihada za dhati katika mechi watakazo cheza.Mungu ibariki Afrika .Usipitwe kutembelea blog hii kwa habari zaidi kuhusu kombe la dunia.Karibu.

Maoni