Wooh! Hatimaye Saudi Arabia Waambulia Magoli 2 V/S 1 Egypt

UTANGULIZI

Je,ulikuwa unafikiria  kuwa Saudi Arabia ingeshinda Match yao leo hii dhidi ya Egypt ??.Mmmh najua wengi hamkuwafikiria kabisa kama wangeweza tengeneza maajabu haya .Wataka kufahamu yalifungwaje? .Ambatana nami

KIIINI

Saudi Arabia imeshinda magoli mawili(2) dhidi ya  Egypt ambayo  ni goli la Kwanza ni la penait baada ya kukosa penaiti ya kwanza waliyopata na Goli la pili(2) si la penait.Egypt wamejipatia bao lake kutoka kwa mchezaji nguli Sala

HITIMISHO

Na huo ndio mpira usiyemdhaniya ndiye mshindi na unayemdhani asiwe mshindi.Endelea kutembelea blog hii upate kufahamu habari nyingi kuhusu kombe la dunia 2018.

Maoni