# WAFAHAMU WACHEZAJI BORA DUNIANI KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018

UTANGULIZI

Zapata siku tano (5) zimesalia kwa kukutanisha dunia nzima katika kombe la dunia litakalo fanyika Russia 2018 watu wengi wanatarajia kutazama live kombe la dunia katika sayari dunia. Ewaah! je wawajua wachezaji nyota tegemewa katika timu zao katika timu 32 zinazoshiriki kombe la dunia?.Kama watamani kujua ambatana nami.....

KIINI

Wapo wachezaji wengi tegemezi kwa uchache ni tawataja wachache hapo chini kama ifuatavyo:- 
  1. Christiano Ronaldo
  2. Lionel Messi
  3. Surez
  4. Neymar
  5. Eden Hazard
Daah! wapo wengi nisije maliza utamu.Kuwafahamu hawa wachezaji na wengine tazama video hii hapo chini kwa kubofya kitufe chekundu hapa katikati ......


HITIMISHO

Shabiki wa kweli kamwe hapitwi kuhusu kombe la dunia , eeeeh! umefahamu wachezaji hawa wanatoka timu gani na ni nchi gani?.Kwa habari tele kuhusu michezo na kombe la dunia usisite kutembelea blog hii karibu.Asante kwa kutazama karibu tena.

Maoni