# Usichofahamu kuhusu HIV/AIDS @ Science - Form1


UTANGULIZI

Waooh ! Bravoo! kwa kuendelea kutembelea blog hii. Asante sana ,baada ya shukrani ningependa tuendelee na somo la leo ambalo linahusu mada ya HIV/AIDS kwa kidato cha kwanza na form 5 katika somo la General Studies.Je,unatamani kufahamu usichokijua?????.Fuatana nami hapa chini...

KIINI

Kwa kufahamu usilolijua kuhusu HIV/AIDS nimekuandalia video nzuri maalumu inayokwenda kukufahamisha usichokijua kuhusu HIV/AIDS sasa cha kufanya ni kubofya tu katika kitufe chekundu katika video hii... tada! tada!






HITIMISHO

Naam hicho ndicho usichofahamu kuhusu HIV/AIDS una maoni gani??.Karibu kila siku katika blog hii ujifunze masomo ya darasani kwa video usijifunze kinadharia ubaoni  bila kuona kamwe usikubali jisajili katika blog hii kupata kujifunza zaidi.

Maoni