UKARIBISHO

1. UTANGULIZI
Karibuni sana katika blog mpya kabisa iliyo na dhamira ya kusaidia katika tasnia  ya elimu Tanzania.Waoooh walimu ,wanafunzi na wadau wote wa elimu karibuni .
02.KIINI
Ndani ya blog hii utaweza kujifunza mambo mengi yaliyo na tija katika taaluma katika ngazi ya o'level,advance level na hata vyuo.Kidole kimoja kamwe hakiwezi ua chawa naam nawakaribisha kuchangia inapofaa ili kujenga elimu ni ukombozi katika nyanja zote yaani kijamii,kisiasa na kiuchumi katika taifa lolote duniani.
03.HITIMISHO
Wekeza sasa kwa muda,mali,akili na roho upate kujifunza mengi zaidi.Waswahili hupenda kusema kila lenye mwanzo halina mwisho nami sina budi kufika tamati .Bibi naye alisema hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho.Asante.

Maoni