# TAMBUA VIWANGO VYA FIFA KWA TIMU 32 ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA RUSSIA

UTANGULIZI

Timu 32 zimetinga kushiriki kombe la dunia huko Russia 2018.Timu hizi zimetoka mabara tofauti tofauti duniani yaani Amerika ya kusini, Ulaya, Afrika ,Amerika ya kaskazini,Australia, Asia kwa ufupi na mabara mengine duniani.Lakini umeshawahi kujiuliza wapo katika nafasi gani katika viwango vya FIFA?.Kufahamu hili na mengine ambatana nami kwa utulivu na usikivu....

Muonekano wa timu zilizofuzu kombe la dunia 2018 katika ramani ya dunia

KIINI

Pata kufahamu zaidi kuhusu viwango vyao kwa kuweza kutazama video hii na ufahamu nani wa kwanza na nani wa mwisho tazama hapo chini:................................


HITIMISHO

Hizo ndio timu zinazowania kombe la dunia 2018.Umetazama vizuri hebu niambie timu toka katika taifa lako au hile uipendayo na kushabikia ina kiwango gani kwa viwango vya FIFA?.Toa maoni uendelee kufurahia kutazama na kutembelea blogi hii ya kijanja.Karibu

Maoni