# TAFAKARI KISHA TOA MAONI JUU YA TIMU ZITAKAZO INGIA ROUND INAYOFUATIA KOMBE LA DUNIA

UTANGULIZI

Kombe la dunia sasa la pamba moto kabisa  huko nchini Russia 2018.Kinachoniumiza kichwa ni nani atakayeweza ingia round ya 16 bora .Kwani haitabiriki kabisa .Je ,rafiki we unalojibu?.Tehe! tehe! fuatana nami

KIINI

Ni muda wako sasa kutoa maoni yako juu ya timu ipi itakayotinga 16 bora kutoka katika makundi mbalimbali yaani kundi A,B,C,D n.k.Karibu toa maoni rafiki .Paza sautiiiiiiiii

HITIMISHO

Ni maoni yako,wakati wako wa kutoa maoni yako sasa.Ungana nami toa maoni juu ya timu itakayotinga raundi inayofuatia katika michuano ya kuwania kombe la dunia.Usikose kila siku ,wakati wote kutembelea blog hii pia tembelea somakidigitali You tube channel kwa kutumia linki hii
kwa habari za michezo,masomo ya darasani  sekondari kwa njia ya video,technolojia ,habari vyuo vikuu n.k

Maoni