# Smart Phone bomba ambazo ungetamani kuwa nazo 2018

                                                            

  UTANGULIZI

Najua wengi tunapenda simu bomba kabisa za smart phone kwa maisha ya leo hii ulimwenguni.Lakini je,wajua simu zipi bomba kwa mwaka huu 2018?

KIINI

Yeah kwa ukweli simu zipo nyingi lakini kwa hizi ziko bomba zaidi.Unataka kujua ni zipi?.Tazama video hii uzione kwa urahisi na sifa zake

HITIMISHO

Kamwe usikose kila siku kutembelea blog hii kwa taarifa nzuri za michezo,technoljia,masomo ya sekondari kwa njia ya video,habari za vyuo n.k

Maoni