SIKU YA USAFI DUNIANI


UTANGULIZI
Leo ni siku nzuri sana katika ulimwengu huu.Wewe unajua ni siku nzuri kwa namna gani ?. Duh! namna unaangaika kutabiri.Mimi ninasema kwamba leo ni siku ya mazingira duniani kote yaani kila ifikapo June  5 kila mwaka.
KIINI
Sayari dunia imekuja na kampeni ambazo nchi zote duniani inapambana kutimiza.kupitia shirika la mazingira duniani
hapo juu ni maelezo ya katibu wa umoja wa mataifa kuhusu mazingira duniani .
 Pambana kuzia plastic katika mazingira
HITIMISHO
Mazingira ni yetu tuyatunze tuyadhamini naye nyiwe yatutunze.

Maoni