UTANGULIZI
Mwakilishi mwingine toka Afrika katika Kombe la dunia 2018 aaga mashindano hayo.Je,wamtambua ni nani?.Endelea kuambatana nami ili kufahamu zaidi
KIINI
Ni timu ya Nigeria toka Afrika Magharibi waaga mashindano ya kombe la dunia baada ya kupata kichapo cha kufungwa magoli 2 na Argentina huku wakiambulia goli 1 tu la mkwaju wa penait kutoka kwa Mchezaji Moses.
HITIMISHO
Hiyo ndo hali halisi iliyotokea jana kwa mwakilishi toka Afrika.Bara la Afrika limebakiwa na mwakilishi mmoja Senegal ambaye amebakiza mechi moja itakayo amua mustakabali wa Afrika katika kombe la dunia .Endelea kufuatilia habari za kombe la dunia hapa hapa katika blog hii usisite kuitembelea uelimike.
Maoni
Chapisha Maoni