SHUHUDIA MAGOLI 3 YA RONALDO

UTANGULIZI

Hayawi hayawi sasa yamekuwa kwa mara nyingine Ronaldo anatengeneza historia mpya katika kombe la dunia 2018.Kwa mara hii anafunga magoli matatu ambayo yanaipa hadhi timu yake ya taifa ya Ureno katika michuano ya kombe la dunia.

KIINI 

Sasa waweza shuhudia magoli ya Ronaldo kwa kubofya kitufe chekundu katika video hii kama ifuatavyo:.



HITIMISHO

Hayo ndio magoli mwanana ya Ronaldo katika mechi yake ya kwanza katika michuano ya kombe la dunia 2018.Vipi katika mechi ya pili hali itakuwaje?.Usisite kutoa maoni yako na siku zote penda kutembelea blog hiii.Pia tembelea YOU TUBE katika channel ya somakidigitali kwa taarifa mubashara kuhusu michezo,masomo ya sekondari n.k

Maoni