SHUHUDIA EXPERIMENT YA OXYGEN FORM 2


UTANGULIZI

Ni mwodoko wa series za video za masomo mbalimbali ya sekondari na kadhalika. Karibu rafiki tena kwa wakati huu ninapenda kukufundisha kuhusu mada ya OXYGEN ambayo ni mada ya kidato cha pili .Bingo waweza jiuliza ni kipengele gani nakuletea .Tehe! tehe! ni rahisi sana ni juu ya experiment ya oxygen  lengo la experiment hii ni kuandaa oxygen kwa kutumia hidrogen peroxide .

KIINI

Ni muhimu ukafahamu vifaa vinavyohitajika katika experiment kama vile hydrogen peroxide,manganese oxide na kadhalika kufahamu mengi zaidi tazama video hizi ujifunze mubashara(live).





HITIMISHO

Tazama kwa umakini taratibu ujifunze kwa ufasaha zaidi ,usisite kutembelea blog hii upate kuelimika kupitia video nzuri za masomo.Karibu sana

Maoni