# SCIENCE SUBJECT @ CHEMISTRY FORM 2- FAHAMU NJIA YA KUKARIRI PERIODIC TABLE ELEMENT


UTANGULIZI

Ni mara ngapi umesoma kipengele cha " Periodic table" lakini umeshindwa kukariri?.Pole sana rafiki lakini leo usihofu nitakusaidia namna ya kukariri Element katika Periodic Table.Fuatana nami katika kipidi hiki mahususi kwa kidato cha kwanza katika somo la chemistry......

KIINI

Ni rahisi kukari elementi katika "Periodic Table" .Fuatana nami kupitia video hizi utajifunza kwa urahisi sana .Wewe chakufanya chukua kalamu na karatasi ,kisha ukae sehemu tulivu ujifunze kwa ufasaha .Kumbuka kuangalia elementi zinazo endana na level yako ya darasa .Heloooo ! bofya kitufe chekundu hapo katikati ya video kujifunzaaaaa....... tazama.








 HITIMISHO

Ni rahisi sana unaweza kujifunza kupitia wimbo  na video nyingine chakufanya ni kurudia rudia ili ukariri vizuri.Endelea kutembelea blog hii uelimike ujifunze masomo ya darasani kwa kutumia video .Usisite kutoa maoni yako.Karibu sana uelimike.

Maoni