# SCIENCE @ BIOLOGY - JE,WAFAHAMU NINI KUHUSU PLANT SELI(SELI ZA MMEA)?

UTANGULIZI

Waoooh! asante kwa kuview(kutembelea) blog hii endelea kutembelea kila mara upate kujifunza mambo mengi zaidi.Allright kwa leo darasa letu linaanza kwa kujifunza kuhusu somo la bailojia hasa kipengele cha "Plant seli"(seli mmea).Je, wafahamu nini kuhusu Plant seli yaani maana,muundo wake na kadhalika?.Kama wa fahamu toa maoni yako.Okay tuendelee na somo letu .....

KIINI

Wow! sasa waweza jifunza kwa urahisi kuhusu plant seli kwa kutazama video mahususi kabisa zinazokusaidia kupata maarifa chanya ,achana na habari za zilipendwa kujifunza somo hili kinadharia katika ulimwengu wa sayansi .Leo utajifunza kuhusu plant seli kwa kubofya kitufe chekundu katika video hizi kwa kutazama karibu....



HITIMISHO

Hayo ndio maarifa kuhusu plant seli(seli za mmea) kwa kina .Tafadhali usikose kutazama video nzuri kama hizi za masomo kwa kutembelea blog hii. Asante karibu tenaaa saaana!!!

Maoni